Vundle ni kifupisho cha Vim bundle na pia ni plugin ya kumanage Vim.
Vundle inakuruhusu wewe kufanya yafuatayo...
kuweza kujua na kufanya configuration za plugins zako ndani ya .vimrc
kusakinisha plugins ambazo ziko configured(kwa jina la maandiko/bundle)
kuongeza plugins ambazo ziko configured
kutafuta kwa jina maandiko yote ambayo yapo ndani ya Vim maandiko/Scripts(Hati)
kutoa plugins ambazo hazitumiki
kutekeleza(run) vitendo hapo juu kwa kubonyeza moja pamoja na modi ya interactive
Vundle inafanya automatiki kuratibu Vitu Vifuatavyo...
kuratibu njia ya runtime ya maandiko ambazo zimesakinishwa
inatengeneza tag za msaada baada ya kusakinisha na kupandisha
Vundle inapitia mabadaliko ya mwonekano,tafadhali kuwa tayari kuweza kupata mabadiliko ya sasa
chat katika gitter kwa ajili ya majadiliano na support
kusakinisha kunahitaji uwe na Git pamoja na kutekeleza(run) git clone kwa kila repositori ambayo ipo configured kwa ~/ .vim/bundle/
kwa default.Curl inahitajika kwa ajili ya kutafuta.
Kama unatumia Windows, nenda moja kwa moja katika setup ya Windows.Kama utapata tatizo , hakikisha unaenda sehemu ya FAQ.Angalia Mbinu kwa ajili ya configurations za level kubwa.
Kwa kutumia non-POSIX shels, kama shell za popular fish, zinahitaji setup za nyongeza. Tafadhali angalia Mswali Kuhusu Hili.
git clone https://github.com/VundleVim/Vundle.vim.git ~/.vim/bundle/Vundle.vim
Weka hii juu ya .vimrc
ili kutumia Vundle.Toa plugins ambazo huhitaji, zipo kwa ajili ya lengo la illustration.
set nocompatible " inapaswa kuboreshwa, inahitajika
filetype off " inahitajika
" weka njia ya runtime kujumuisha Vundle na anzisha
set rtp+=~/.vim/bundle/Vundle.vim
call vundle#begin()
" badala yake, weka njia ambapo Vundle inapaswa kusakinisha nyongeza
"call vundle#begin('~/some/path/here')
" ruhusu Vundle kusimamia Vundle, inahitajika
Plugin 'VundleVim/Vundle.vim'
" Zifuatazo ni mifano ya miundo tofauti inayoungwa mkono.
" Weka amri za Plugin kati ya vundle#begin/end.
" nyongeza kwenye GitHub repo
Plugin 'tpope/vim-fugitive'
" nyongeza kutoka http://vim-scripts.org/vim/scripts.html
" Plugin 'L9'
" Git plugin ambayo haijawekwa kwenye GitHub
Plugin 'git://git.wincent.com/command-t.git'
" hifadhi za git kwenye mashine yako ya ndani (yaani wakati unafanya kazi kwenye nyongeza yako mwenyewe)
Plugin 'file:///home/gmarik/path/to/plugin'
" Hati ya vim ya sparkup iko kwenye jalada dogo la repo hii inayoitwa vim.
" Pitia njia ili kuweka runtimepath vizuri.
Plugin 'rstacruz/sparkup', {'rtp': 'vim/'}
" Sakinisha L9 na epuka mgongano wa majina ikiwa tayari umesakinisha
" toleo tofauti mahali pengine.
" Plugin 'ascenator/L9', {'name': 'newL9'}
" Nyongeza zote lazima ziwekwe kabla ya mstari ufuatao
call vundle#end() " inahitajika
filetype plugin indent on " inahitajika
" Ili kupuuza mabadiliko ya indent ya nyongeza, badala yake tumia:
"filetype plugin on
"
" Msaada mfupi
" :PluginList - orodhesha nyongeza zilizosanidiwa
" :PluginInstall - sakinisha nyongeza; ongeza `!` kusasisha au tu: PluginUpdate
" :PluginSearch foo - tafuta foo; ongeza `!` kusasisha cache ya ndani
" :PluginClean - thibitisha kuondolewa kwa nyongeza ambazo hazitumiki; ongeza `!` kuidhinisha kuondolewa moja kwa moja
"
" tazama :h vundle kwa maelezo zaidi au wiki kwa Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
" Weka vitu vyako visivyo vya Plugin baada ya mstari huu
Anzisha vim
na tekeleza :PluginInstall
Kusakinisha kutoka kwenye command line: vim +PluginInstall +qall
set shell=/bin/bash
kwenye .vimrc
Angalia :h vundle Vimdoc kwa maelekezo zaidi.
Angalia changelog
angalia ,mifano
angalia Wachangiaji wa Vundle
Ahsanteni
Vundle imetengenezwa na kufanyiwa majaribio na Vim 7.3 katika OS X, Linux na Windows
Vundle inajaribu kuwa KISS kwa namna yoyote
Vundle ni kazi ambazo ipo kwenye mwendelezo, hivyo wazo lolote na patch tutashukuru
kuwasha bundle mpya ambazo zimewekwa katika .vimrc
reload au baada :PluginInstall
Tumia hakikisha(preview) window kwa ajili ya matokeo ya kutafuta
Maelekezo ya Vim
weka Vundle katika bundles/
pia(tutasuruhisha msaada ya Vundle)
majaribio
kubadili kuweza kupambana na matatizo
kuruhusu kuspecify version/revision(toleo/marekebisho)
kuhandle utegemezi(dependencies)
kuonesha maelekezo katika matokeo ya kutafuta
kutafuta maelekezo pia
kufanya iwe safi!
此处可能存在不合适展示的内容,页面不予展示。您可通过相关编辑功能自查并修改。
如您确认内容无涉及 不当用语 / 纯广告导流 / 暴力 / 低俗色情 / 侵权 / 盗版 / 虚假 / 无价值内容或违法国家有关法律法规的内容,可点击提交进行申诉,我们将尽快为您处理。